Sisi tulifungwa kwa heshima ila Yanga wamezalilishwa- Haji Manara

0
4

Ofisa wa habari wa timu ya Simba bwana Haji Manara ameonyesha hisia zake kutokana na matokeo waliyoyapata watani wao yanga ambao jana walipata kichapo kitakatifu cha bao 3-0 dhidi ya Kagera sugar.

Manara amesema kuwa kilichowakuta yanga ni udhalilishaji kwakuwa kufungwa goli 3 ni aibu na hayo yote yalitokea kutokana walijiamini kupita kiasi na kuwa na kulewa furaha baada ya simba kufungwa Zanzibar.

Advertisement

‘Sisi tumefungwa kwa heshima ila wao hawajafungwa wamezalilisha sisi tumefungwa goli moja wao wanafungwa Dar goli tatu ni aibu kwakweli ila ninachowashauri wana simba kutulia na kuwaacha tu yanga wasiwacheke  ila tuangalie mechi yetu ya leo ambayo itakuwa ni ngumu katika kuisaka pointi tatu muhimu” alisema Manara

Facebook Comments