VIDEO: Breaking News, Lugola atinga TAKUKURU kuhojiwa, abeba ilani ya CCM

0
7

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani Kangi Lugola leo majira ya saa moja na nusu kwa kwa saa za Afrika Mashariki amewasili katika ofisi za Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU, Jijini Dodoma kwa ajiri ya kuhojiwa na Mamlaka hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE

Facebook Comments