VIDEO: Halima Mdee ambana Waziri Zungu kwa mara ya kwanza bungeni

0
5

Kwa mara ya kwanza Mbunge wa Ilala ambaye ameteuliwa na Rais kuwa Waziri wa Mazingira, Mussa Azzan Zungu, amesimama Bungeni kujibu maswali ya wabunge akiwa Waziri baada ya kuapishwa siku chache zilizopita akichukua nafasi ya George Simbachawene, ambaye amehamishwa kutoka wizara hiyo na kupelekwa wizara ya mambo ya ndani.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE

Facebook Comments