VIDEO: Kangi Lugola agoma kuongea

0
12

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nadni ya Nchi, na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola leo amehojiwa kwa zaidi ya masaa sita Jijini Dodoma, na Mamlaka ya kudhibiti  na kupambana na Rushwa TAKUKURU juu ya tuhuma zinazomkabili.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…….USISAHAU KUSUBSCRIBE

Facebook Comments