VIDEO: Meja Generali Kingu aungana na Lugola, atinga Takukuru kuhojiwa

0
4

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ndani ya Nchi, Meja General Jakobo Kingu amewasili Makao Makuu ya TAKUKURU kuhojiwa na mamlaka hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…….USISAHAU KUSUBSCRIBE

Facebook Comments