VIDEO: Tetesi za soka leo Januari 16

0
7

Uongozi wa klabu ya Simba umeamua kumrejesha winga wake wa zamani Shiza Kichuya.
Mchezaji huyo alikuwa sehemu ya kikosi CHA  wekundu hao wa Msimbazi hapo awali kabla ya kuelekea Misri kucheza soka la kulipwa.

Haijafahamika kipi kimemkuta Kichuya huko Misri lakini mabosi wake wa zamani wameamua kumrejesha kazini Msimbazi.
Inaelezwa kuwa Kichuya amesaini mkataba wa miaka miwili.

Advertisement
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…USISAHAU KU SUBSCRIBE 

Facebook Comments