VIDEO: Tetesi za soka leo Januari 18

0
10

Kocha wa zamani wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa amesikia kelele za mashabiki wa timu hiyo wakishinikiza uongozi umrudishe kufundisha timu hiyo lakini kwa upande wake hafikirii kurejea nchini Tanzania kwa kuwa ni wakati wa kuvuna walichopanda awali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA  …USISAHAU KU SUBSCRIBE

Facebook Comments