VIDEO: Waziri Mkuu achefukwa awachana wanaosema hana mamlaka ya kwenda kutoa maagizo Zanzibar

0
7

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amesema yeye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo ana mamlaka ya kwenda kutoa maagizo popote ndani ya Jamhuri ya Muungano yani Bara na Visiwani hivyo sehemu ambayo ilani haitekelezwi ana mamlaka ya kukemea na kutoa maagizo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…….USISAHAU KUSUBSCRIBE

Facebook Comments