Twiga Stars yatoa dozi ya wiki kwa Mauritania

0
8

 Timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania ( Twiga Stars) imeishushia kipigo timu ya Taifa ya wanawake ya Mauritania cha bao 7-0 katika michuano ya wanawake kanda ya kaskazini (UNAF).

Facebook Comments