Utacheka jinsi mchekeshaji Mpoki alivyopasha misuli kuelekea show yake ya Comedy (Video)

0
10

Mchekeshaji Mpoki Ijumaa hii siku ya Valentine Day anatarajia kufanya show yake ya kwanza ya @mpokicomedyofficial ambayo ameandaa mwenyewe. Show hiyo ambayo itakuwa na surprise kikao itafanyika katika hotel ya Regency Park Hotel jijini Dar es salaam.

Facebook Comments