VIDEO: CCM na mikakati ya kuondoa mafuriko Tabora

0
5

Chama cha  cha mapinduzi mkoa wa Tabora kimeitaka serilikali  ya mkoa huo kutafuta utatuzi wa changamoto ya maji  kukosa uelekeo na kuingia kwenye makazi ya watu  hali ambayo inasababisha usumbufu kwa wananchi wa maeneo mbalimbali katika manispaa ya Tabora.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…USISAHAU KU SUBSCRIBE

Facebook Comments