Yanga kukutana kujadili mustakabali wa raundi ya Pili 

0
8

Klabu ya Yanga imewaalika Viongozi wa Matawi ya Dar Es Salaam na mikoa ya jirani katika Mkutano maalum utakao fanyika Jumamosi tarehe 15/02/2020 kuanzia saa 4:00 asubuhi.

The post Yanga kukutana kujadili mustakabali wa raundi ya Pili  appeared first on Bongo5.com.

Facebook Comments