Health JINSI SABUNI INAVYOWEZA KUMUUA CORONAVIRUS (COVID-19)

JINSI SABUNI INAVYOWEZA KUMUUA CORONAVIRUS (COVID-19)

-

- Advertisment -

Kwa zaidi ya miaka 5000 wanadamu wamekuwa wakigundua na kutengeneza bidhaa mbali mbali ambazo zinaweza kutumika kujisafishia Lakini sabuni imebaki kuwa bidhaa nzuri na imara ambayo inaweza kutumika kujisafishia na kujikinga na Magonjwa mbali mbali Hata hili janga la Dunia la CORONAVIRUS

Cleaning product

Kama ilivyobainishwa kuwa usambazwaji wa virusi vya kuruna ni kwa njia ya kugusana baina ya mtu kwa mtu au kwa njia ya hewa Hivyo kujisafishwa kwa sabuni kunaweza kusaidia kupunguza usambazwaji wa virusi hawa kwa njia ya kugusana

Transmission and sign of coronavirus

Wanasayansi wamegundua Virus hawa wa coronavirus Kwa jina la kisayansi SARS-CoV-2 anaweza akaishi kwa Masaa 24 kwenye cardboard (ubao) au Kwa siku Mbili kwenye Steel(chuma) na siku Tatu kwenye plastic ngumu (polypropylene)

JINSI SABUNI INAVYOWEZA KUMUUA CORONA VIRUS

Soap

Virusi wote wametengenezwa na Genetic code bundle ambayo imeundwa na Lipids na Proteins na kila virus ana ganda ambalo limewazunguka nje kuwalinda ambalo kitaalamu huutwa VIRAL ENVELOPE

Corona virus Envelop

Na virusi wote wenye Maganda (Enveloped virus) Wakiwa nje ya mwili ni rahisi sana kuwaua hivyo hiibinatupa urahisi wa kumuua COVID-19 au coronavirus

Sabuni inauwezo mkubwa wa kuifungua external Envelop (Ganda la nje Virusi hawa wa corona) na kuwafanya wawe rahisi kujimeng’enya na kufa.

Molecule za kwenye Sabuni huweza kukamata viungio vya nje vya kirusi ambavyo huharikika na kutoweshwa Maji wakati wa kunawa

Pia na Sanitizer hufanya kazi sawa na sabuni lakini yenyewe huwwza kuzifanya protini zilizopo ndani ya kirusi kupasuka

Watch HOW SOAP KILL CORONAVIRUS

TAFADHARI SHARE MAKALA HII NA WENGINE WAWEZE KUISOMA

Dr john Masawe
Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ?| Founder, CEO and Publisher @wahabarishaji

Latest news

Cross River State police commissioner loses mother

Hajia Hajarat Nma Abdulkadir, mother of...

Ebonyi : Umahi visits scene of accident, orders immediate investigation

Governor David Umahi of Ebonyi State, on Saturday, visited the Akaeze bridge, the scene of the...

Edo Decides: Police Commission releases report from voting centers

The Police Service Commission (PSC) has...

Ebonyi police confirms recovery of 14 dead bodies from Ebonyi river

The Ebonyi State Police Command yesterday...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you