News Baada ya Wasafi FM kufungiwa Daimond aishukuru TCRA

Baada ya Wasafi FM kufungiwa Daimond aishukuru TCRA

-

- Advertisment -

Nyota wa muziki nchini, msanii Diamond Platnumz ambaye pia ni Mkurugenzi wa Wasafi Media ameishukuru Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi.

Kauli ya Diamond inakuja baada ya TCRA kusitisha utoaji huduma za utangazaji kwa Wasafi FM kwa muda wa siku saba kuanzia Septemba 12 hadi Septemba 18 mwaka huu.

Akizungumza hilo kupitia Big Sunday Live ya Wasafi TV, Diamond amesema adhabu hiyo ni kuwapa nafasi ya kujifunza kama kituo cha habari kinachotazamwa zaidi kwa sasa nchini.

Aidha, ameeleza kipindi adhabu hiyo itakapomalizika watarejea kwa uweledi zaidi na kuisadia serikali kuelimisha jamii kwa lengo la kuandaa kizazi bora cha hapo baadaye chenye maadili.

Uamuzi wa kufungiwa Wasafi FM ulitolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba jijini Dar es Salaam ambapo alisema hatua hiyo ni kutokana na kituo hicho kukiuka kanuni namba 11 ya Kanuni za Mawasiliano ya kielektroniki na Posta ya mwaka 2018. Mhandisi Kilaba alisema kuwa ukiukwaji huo wa kanuni ulifanyika katika vipindi vya “The Switch” na “Mashamsham”.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

UN: Yemeni belligerents launch prisoner swap talks

A meeting between the Yemeni government and Houthi rebels on swapping prisoners and detainees have started in Geneva, the...

Lavrov says Russia is ready to mediate in the Gulf crisis

Russian Foreign Minister Sergey Lavrov announced today that his country is willing to mediate in the crisis between Qatar...

How the Expressway will affect property owners along its path

 Several property owners along Nairobi’s Mombasa Road face eviction as the government moves in to construct the Nairobi Expressway...

Victory for Badi team as court reverses order on NMS

 A judge has reversed her orders on the creation of the Nairobi Metropolitan Services in a decision which is...

Amina Mohamed gets nod to proceed to next round in WTO race

 Kenya's candidate in the race for World Trade Organisation (WTO) Director-General post CS Amina Mohamed has qualified for the...

Covid-19: Kenya records 148 new cases, tally rises to 36,724

 Kenya has recorded 148 more Covid-19 positive cases in the past 24 hours raising the country's total caseload to...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you