News China yafurahishwa na uamuzi wa WTO kuhusiana na vikwazo...

China yafurahishwa na uamuzi wa WTO kuhusiana na vikwazo vya Marekani

-

 

China imefurahishwa na uamuzi wa Shirika la Biashara Duniani WTO kwamba vikwazo vya Marekani kwa bidhaa za China mwaka 2018 havikuendana na sheria za kimataifa za biashara. 

Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Wengbin amesema China inafurahishwa na uamuzi huo uliotolewa na timu ya wataalam wa WTO. 

Wang amesema uamuzi huo unaonyesha kwamba ni Marekani ambayo hukiuka sheria za kimataifa na kujiondoa kutoka kwenye mashirika iwapo mashirika hayo hayatofuata Marekani inavyotaka. 

Jopo hilo lakini limezitaka China na Marekani kuutatua mzozo wao kwa njia ya mazungumzo ya pande mbili. 

Vikwazo hivyo vya Marekani viliwekwa na utawala wa Trump baada ya kusema kuwa kampuni za China zinanufaika kutokana na serikali kupunguza bei ya bidhaa. 

Kwa kujibu, China nayo iliziwekea vikwazo vikali bidhaa za Marekani.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Sudan leadership divided over whether to normalise ties with Israel

The military leaders in Sudan’s Sovereign Council, which comprises both civilians and military officers, are interested in normalising the...

Ruge kuanzisha SACOS ya kukopa

Na Timothy Itembe Mara.Wakina mama na vijana jimbo la Serengeti wametakiwa kumchaua mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na...

Nigeria, Ghana relations: Buhari, Akufo-Addo meeting in Abuja

President Muhammadu Buhari and President Nana...

Chris Kirubi Speaks on Employing Daughter to Run Empire [VIDEO]

Business mogul Chris Kirubi or CK as his close associates refer to him, needs little introduction. However, his daughter...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you