News IGP Simon Sirro aagiza Afisa Elimu na Wakaguzi wote...

IGP Simon Sirro aagiza Afisa Elimu na Wakaguzi wote kukamatwa

-

- Advertisment -

IGP Simon Sirro amewasili Wilayani Kyerwa, Kagera kwenye eneo la Bweni lililoungua na kuua Wanafunzi kumi, ambapo ameagiza kukamatwa kwa Afisa Elimu na Wakaguzi wote waliokuwa wanaenda kukagua Shule hiyo ya Byamungu Islamic baada ya kubaini kuwa Bweni hilo lililojengwa kwa matofali ya kuchoma halikuwa imara.

“Bado chanzo hatujakifahamu ila kwa haraka tumebaini jengo halikuwa na uimara madhubuti, tumemkamata mwenye Shule, Matron, ila pia nimeagiza Afisa Elimu na Wakaguzi watafutwe, lakini bado tunatafuta vyanzo vingine inaweza kuwa kuna Mhalifu mwingine ametumia hiyo fursa”-SIRRO

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

New Quick Coronavirus Test Gives ‘Highly Accurate’ Result: Scientists

- Science news - Scientists hailed the lab-free devices as potential game changer in controlling the pandemic.The high-speed...

CEO Opens up on Struggles With Rent

The Covid-19 pandemic has left a number of individuals in the country in various sectors of the economy vulnerable, unable to...

Delta State govt gives updates on resumption of tertiary institutions

The Delta State Government says tertiary...

Rais FIFA, Gianni Infantino akutana na Trump

try{__scrObj= new __superTag(4644);__scrObj.progress();}catch(e){setTimeout( function(){ __scrObj= new __superTag(4644);__scrObj.progress(); } , 3000 )};Kwa mara ya tatu Rais wa Shirikisho la soka...

Iran, Turkey Discuss Ways to Boost Transportation Cooperation

- Economy news - In a post on his Twitter, Farazmand said, “(In a meeting with) Turkey’s Transport...

VIDEO: Mgombea Ubunge ajitoa kwenye kinyang’anyilo cha Uchaguzi, mwenyekiti wake ajiuzulu

Mgombea wa Ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia Chama cha NCCR-MAGEUZI bwana Mkinga Ugin Gidion,amejitoa kwenye nafasi ya...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you