News Joto lapasua barafu katika ncha ya dunia

Joto lapasua barafu katika ncha ya dunia

-

- Advertisment -

 

Sehemu kubwa ya barafu imemeguka kutoka katika hifadhi kubwa ya theruji iliyosalia ya – 79N, au Nioghalvfjerdsfjorden – katika eneo la kaskazini-mashariki mwa Greenland.

Sehemu iliyomeguka inachukua karibu kilomita 110 za mraba; picha za setilaiti zinalionesha likiwa limemeguka katika vipande vidogo vidogo.

Wanasayansi wanasema kuyeyuka zaidi kwa theruji hiyo ni ushahidi wa mabadiliko ya haraka ya hali ya hewa katika eneo hilo la Greenland.

“Hali ya hewa katika kanda hiyo imekuwa ya joto kwa kiwango cha nyuzijoto 3 tangu mwaka 1980,” amesema Dkt Jenny Turton.

Barafu inashambuliwa na joto kutoka juu na chini yakeImage caption: Barafu inashambuliwa na joto kutoka juu na chini yake

“Na miaka ya 2019 na 2020, kanda hiyo ilirekodi vipimo vya hali ya juu vya joto kuwahi kurekodiwa katika msimu wa majira ya joto ,” alisema mtafiti wa maeneo ya ncha ya dunia katika chuo Kikuu cha Friedrich-Alexander nchini Ujerumani aliiambia BBC.

Eneo lililofunikwa na theruji katika nchi ya dunia linalofahamika kama Nioghalvfjerdsfjorden- lina urefu unaokadiriwa kuwa sawa na kilomita 80 na upana wa kilomita 20 na lina theruji au barafu inayoenea hadi Kaskazini magharibi mwaukanda wa barafu wa Greenland – ambako inamwagika kwenye ardhi hadi baharinina kuelea tena.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

UN: Yemeni belligerents launch prisoner swap talks

A meeting between the Yemeni government and Houthi rebels on swapping prisoners and detainees have started in Geneva, the...

Lavrov says Russia is ready to mediate in the Gulf crisis

Russian Foreign Minister Sergey Lavrov announced today that his country is willing to mediate in the crisis between Qatar...

How the Expressway will affect property owners along its path

 Several property owners along Nairobi’s Mombasa Road face eviction as the government moves in to construct the Nairobi Expressway...

Victory for Badi team as court reverses order on NMS

 A judge has reversed her orders on the creation of the Nairobi Metropolitan Services in a decision which is...

Amina Mohamed gets nod to proceed to next round in WTO race

 Kenya's candidate in the race for World Trade Organisation (WTO) Director-General post CS Amina Mohamed has qualified for the...

Covid-19: Kenya records 148 new cases, tally rises to 36,724

 Kenya has recorded 148 more Covid-19 positive cases in the past 24 hours raising the country's total caseload to...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you