News Kiongozi mpya wa Baraza la Umoja wa Mataifa

Kiongozi mpya wa Baraza la Umoja wa Mataifa

-

- Advertisment -

 

Katika hafla hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya UN, Bozkır alichukua madaraka kutoka kwa Rais wa 74 wa Baraza la Umoja wa Mataifa Tijjani Muhammad-Band.

Katika hotuba yake katika Mkutano Mkuu wa UN, Bozkır amesema kuwa janga la Corona limebadilisha mipango ya Mkutano Mkuu wa 75 wa UN, na kuongeza kuwa,

“Barakoa zetu leo zinatukumbusha tishio kubwa sana ambalo tunakabiliwa nalo, maisha tuliyopoteza, shida tunazopaswa kukabiliana nazo na kwamba sisi sote tunapambana na kitu kimoja”.

Akisema kwamba janga hilo limetumiwa na wakosoaji wa mfumo wa pande nyingi kuhalalisha hatua za upande mmoja na kudhoofisha mifumo ya kimataifa, Bozkır amebainisha kuwa katika kipindi hiki, mifumo na mashirika ya kimataifa bado yanahojiwa na kwamba ukosoaji huu ulikuwa wa msingi, lakini kulifikiwa hitimisho lisilo sawa.

Bozkır, ambaye ametoa ujumbe wa mshikamano, ushirikiano na kuimarisha imani kwa taasisi za kimataifa dhidi ya janga hilo, ambalo ni mgogoro wa ulimwengu, amesema,

“Hakuna nchi inayoweza kushinda janga hili peke yake. ‘Social distancing’ haitasaidia katika kiwango cha kimataifa. Hatua za upande mmoja huimarisha tu janga hilo na kutuweka mbali na lengo letu la msingi. Katika nyakati kama hizi za shida, ni jukumu letu la msingi kuimarisha imani katika ushirikiano wa kimataifa na taasisi za kimataifa za UN “

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Reprieve for Sudi as judge frees him on Sh500,000 bail

The state had succeeded in its application at a lower court to hold Kapseret MP Oscar Sudi in custody...

FG govt bans Emirates Airlines from operating in Nigeria

The Federal Government has included Emirates...

Hamas discusses Palestinian cause with resistance group

The political chief of Palestinian group Hamas on Friday discussed how to confront the problems facing the Palestinian cause...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you