News KMC yaanza kujipanga dhidi ya Mwadui FC

KMC yaanza kujipanga dhidi ya Mwadui FC

-

- Advertisment -

 

Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC imeanza kufanya mazoezi yake ya kawaida ikiwa ni katika maandalizi ya mchezo wake dhidi ya Mwadui FC ya Mkoani Shinyanga Septemba 21 mwaka huu.

KMC FC itakutana na Mwadui katika uwanja wa Mwadui Complex ambapo itakuwa ugenini dhidi ya mchezo huo huku ikihitaji ushindi kwa lengo la kuendelea kujiweka katika nafasi ya kuongoza ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2020/2021.

Kupitia mazoezi hayo kikosi hicho kitaendelea kujiimarisha  zaidi  kwakucheza mechi za kirafiki kabla ya kukutana na Mwadui FC jambo ambalo litaiwezesha kujiweka tayari katika mchezo huo.

Aidha KMC hivi sasa inaongoza ligi ikiwa imejikusanyia point sita na magoli sita  katika michezo yake miwili ambapo Septemba saba  ilikutana na Mbeya City katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam na kuibuka na ushindi wa goli nne kwa nunge, Septemba 12 ilicheza na Tanzania Prisons na kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

CS Kagwe Warning to GEMA Leaders Raises Eyebrows [PHOTOS]

Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Sunday, September 20, encouraged the Gikuyu, Embu, Meru Association (GEMA) to ignore intimidation...

Iran: US facing international isolation

The Iranian Foreign Ministry said Sunday the US was facing international isolation over its decision to re-impose sanctions on...

KMC kuivaa Mwadui kesho uwanja wa Mwadui Complex

 Kikosi cha Timu ya  ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC kimejiandaa vilivyo katika  kukabiliana na mchezo wake wa kesho...

US’ Maximum Isolation Outcome of Pressures against Iran: Rouhani

- Politics news - The United States’ legal and political pressures only turned out to be causing maximum...

Citizen TV Responds After OJ Rant Over Tahidi High Episodes

Citizen TV station has responded to former Tahidi High actor Dennis Mugo (popularly OJ) following his outburst around reruns of the...

Tractor Target Beitashour Joins Colorado Rapids

- Sports news - The 33-year-old player has joined Rapids until the end of the 2020 season with...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you