News Marekani yawawekea vikwazo walioshiriki kuvuruga uchaguzi wa majimbo Nchini...

Marekani yawawekea vikwazo walioshiriki kuvuruga uchaguzi wa majimbo Nchini Nigeria

-

- Advertisment -

 

Raia wa Nigeria walioshiriki “Kuchakachua” matokeo ya Uchaguzi wa Majimbo hawataruhusiwa kuingia nchini Marekani baada ya kuwekewa vikwazo

Imeelezwa kuwa Uchaguzi uliofanyika mwaka jana katika Majimbo ya Kogi na Bayelsa haukuwa wa Kidemokrasia hivyo matokeo yake yalivurugwa

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Michael Pompeo aliyetangaza marufuku hiyo hajaweka wazi majina ya waliowekewa vikwazo hivyo

Marekani imetumia nafasi hiyo kutangaza kuendelea kuunga mkono michakato ya Kidemokrasia katika chaguzi na kukemea vurugu zozote zenye lengo la kuharibu Uchaguzi

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Cross River State police commissioner loses mother

Hajia Hajarat Nma Abdulkadir, mother of...

Buhari condoles Umahi, Ebonyi people over death of scores in fatal accident

President Muhammadu Buhari has offered his condolences to the government and people of Ebonyi State over...

Ebonyi : Umahi visits scene of accident, orders immediate investigation

Governor David Umahi of Ebonyi State, on Saturday, visited the Akaeze bridge, the scene of the...

Edo Decides: Police Commission releases report from voting centers

The Police Service Commission (PSC) has...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you