News Mgombea Ubunge ACT Jimbo la Kigamboni aahidi kulinda haki...

Mgombea Ubunge ACT Jimbo la Kigamboni aahidi kulinda haki za wavuvi

-

- Advertisment -

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Kigamboni Kwa tiketi ya Chama cha Act _wazalendo Mwanaisha Mndeme amewaomba wananchi wa Kigamboni wamchague ili awe mbunge wa Jimbo hili huku akihaidi kulinda Haki za wavuvi Wilayani humo.

Amesema kuwa nimiaka zaidi ya kumi Sasa Jimbo hilo limekuwa Chini ya chama cha Mapinduzi CCM lakini hadi leo vijana wakigamboni karibu asilimia 79 hawana ajira rasmi.

Mwanaisha ameyasema hayo Leo katika mkutano wa hadhara ambao umefanyika katika viwanja vya Tungi Mnadani Kigamboni jijini Dar es salaam.ambapo amesema endapo wananchi wakigamboni wakimchagua badi hatua ya Kwanza nikushughulikia changamoto za wavuvi.

“Nawaomba ndugu zangu mnichague kwani shida zenu nazijua na ni za miaka mingi sekta ya uvuvi .ukosefu wa ajira Kwa vijana ,mikopo Kwa akina ,ukosefu wa huduma Bora za Afya .haya yote mkinichagua nitakwenda kuyashughulikia.”amesema Mwanaisha

Ameongeza kuwa kigamboni kunachangamoto ya makazi Bora hivyo Kama watamchagua atatumia elimu yake ya uwanasheria na kushirikiana na watu wa mipangomiji, na mazingira kuhakikisha wanapima Ardhi ili wananchi wapate fursa ya kukopesheka.

Amesema kuwa miaka kumi ya mbunge aliyemaliza muda wake ni miaka ya changamoto nyingi Kwa wananchi wa Kigamboni na ndio maana hata yeye mwenyewe anakiri huku aliwataka ninyi wananchi mumchague tena ili akamalizie kazi .nakwamba wamkatae kwani hatoshi.

“Ndugu zangu Mimi ni biti mdogo lakini ni mwanasheria nawahakikishia mkinipa kura nakwenda kufanya mambo makubwa Kwa ajili ya Kigamboni yetu .si mnajua changamoto za Afya zilivyo madawa tatizo,lakini upande wa elimu madarasa machache katika shule zetu nitahakikisha mkinichagua tunakwenda kumaliza kero hii.”amesema 

Amefafanua kuwa katika Halmashauri kuna mikopo asilimia kumi inatoka katika makundi matatu ya vijana,akina mama,na walemavu asilimia Mbili wakimchagua atakwenda kuwambania ili nawenyewe wanufaiki nayo tofauti na ilivyo sasa ambapo wachache ndio wanafaidika.

Pia amezungumzia kuhusu soko kwamba Wilaya ya Kigamboni Kwa muda mrefu imekosa soko la uhakika hali inayowalazimu wananchi kufuata huduma nje ya Kigamboni wakati maeneo ya wazi hapo hivyo wakimchagua atashughulikia kero hiyo ambayo ki kubwa Kwa wananchi hao.

Alimaliza Kwa kuwaomba wananchi hao ili mambo yaende vizuri Basi wahakikishe wanampa kura Diwani anayotokana na Chama hicho Ally Sharif pamoja na mgombea urais Bernard Membe.ifikapo mwezi Oktaba  28 mwaka huu.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

UN: Yemeni belligerents launch prisoner swap talks

A meeting between the Yemeni government and Houthi rebels on swapping prisoners and detainees have started in Geneva, the...

Lavrov says Russia is ready to mediate in the Gulf crisis

Russian Foreign Minister Sergey Lavrov announced today that his country is willing to mediate in the crisis between Qatar...

How the Expressway will affect property owners along its path

 Several property owners along Nairobi’s Mombasa Road face eviction as the government moves in to construct the Nairobi Expressway...

Victory for Badi team as court reverses order on NMS

 A judge has reversed her orders on the creation of the Nairobi Metropolitan Services in a decision which is...

Amina Mohamed gets nod to proceed to next round in WTO race

 Kenya's candidate in the race for World Trade Organisation (WTO) Director-General post CS Amina Mohamed has qualified for the...

Covid-19: Kenya records 148 new cases, tally rises to 36,724

 Kenya has recorded 148 more Covid-19 positive cases in the past 24 hours raising the country's total caseload to...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you