News Neymar adai alifanyiwa ubaguzi wa rangi

Neymar adai alifanyiwa ubaguzi wa rangi

-

- Advertisment -

 

Neymar Jr alikua miongoni mwa wachezaji watano waliotolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ufaransa ambao PSG ilifungwa kwa bao 1-0.

Wakati anaondoka uwanjani Neymar alimwambia mwamuzi wa akiba kuwa alisikia maneno ya kibaguzi kutoka kwa mchezaji wa Marseille.

Leandro Paredes na Layvin Kurzawa kwa upande wa PSG na Jordan Amavi na Dario Benedetto wa Marseille walijumuishwa kwa pamoja walionyeshwa kadi nyekundu.

Kabla ya kadi hiyo nyekundu, mwamuzi alikwenda kutazama video ya usaidizi (VAR) na kubainia Neymar alimpiga nyota wa Marseille Alvaro Gonzalez.

Ugomvi ulitokana na nyota wa Marseille , Benedictto kumsukuma Paredes wa PSG ambaye pia alirudishia na kuleta taharuki.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

FG govt bans Emirates Airlines from operating in Nigeria

The Federal Government has included Emirates...

Hamas discusses Palestinian cause with resistance group

The political chief of Palestinian group Hamas on Friday discussed how to confront the problems facing the Palestinian cause...

Dangote ordered to stop mining in Benue

A High Court in Benue State...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you