News Rais wa Iran alaani mataifa ya Ghuba kwa kurejesha...

Rais wa Iran alaani mataifa ya Ghuba kwa kurejesha uhusiano na Israel

-

- Advertisment -

 

Rais wa Iran Hassan Rouhani amezikosoa Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu kwa kurejesha uhusiano na Israel. 

Rouhani amezitaja nchi hizo kama watumwa wa Marekani ambao viongozi wao wanatishia usalama wa ukanda mzima wa Mashariki ya kati. 

Matamshi yake haya aliyoyatoa kupitia taarifa yanakuja baada ya UAE na Bahrain kutia saini makubaliano ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia na Israel hapo jana. 

Tukio hili lilifanyika katika ikulu ya White House mbele ya Rais Donald Trump. 

Kwa sasa kuna jumla ya nchi nne za Kiarabu ambazo zina uhusiano wa kidplomasia na Israel zikiwemo Misri na Jordan.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Uchambuzi: Nafasi ya Mbwana Samatta ndani ya Aston Villa (+Video)

try{__scrObj= new __superTag(4644);__scrObj.progress();}catch(e){setTimeout( function(){ __scrObj= new __superTag(4644);__scrObj.progress(); } , 3000 )};Mara baada ya Aston Villa kumsajili kinda mshambuliaji, Ollie...

Job Opportunity at ZOLA Electric, Data Scientist

Data ScientistZOLA Electric Arusha, TanzaniaCompany DescriptionZOLA Electric (formerly Off Grid...

Nairobi Estates Prone to Power Blackouts [LIST]

In efforts to stay ahead of the curve, Kenya Power has continually issued daily updates on scheduled maintenance, repairs and power...

Trump will deliver UN speech next week from White House

US President Donald Trump will not travel to New York on Tuesday for his speech to the United Nations...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you