News Salim Turky kuzikwa leo Fuoni mkoa wa Mjini...

Salim Turky kuzikwa leo Fuoni mkoa wa Mjini Magharibi

-

Aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo la Mpendae kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Salim Turky, ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo Sep 15, 2020, atazikwa leo Saa 10:00 Jioni huko Fuoni Kijito Upele mkoa wa Mjini Magharibi.

Salim Turky alikua ni Mbunge wa Jimbo la Mpendae miaka mitano iliyopita na pia alikua mgombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28, ambapo imeelezwa kuwa na hata juzi katika ufunguzi wa kampeni za CCM Zanzibar uliofanyika viwanja vya Demokrasia Mjini Unguja.

Katika uzinduzi huo Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein, alimpa fursa ya kujinadi na kuomba kura kwa wanachama wa CCM wa Jimbo la Mpendae ambao waliohudhuria. 

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Mpendae na maiti itaswaliwa katika Masjid  Muhammad (Msikiti wa Othman Maalim), uliopo Mchina Mwanzo na marehemu atazikwa Fuoni Kijito Upele Mkoa wa Mjini Magharibi.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Saudi dissidents form pro-democracy political group

A group of Saudi dissidents, most of them in exile, on Wednesday announced the formation of a party to...

Kogi: FCT Minister reacts to death of 23 persons in Lokoja tanker explosion

The FCT Minister of State, Ramatu Aliyu, has reacted to the Kogi State tanker explosion, which claimed the lives...

Insecurity: CISS faults report on Nigeria’s terrorism index

A recent report which ranked Nigeria...

Violence mounts against Iraqi doctors as COVID cases spike

Iraqi doctor Tariq Al-Sheibani remembers little else beyond cowering on the ground as a dozen relatives of a patient,...

Buhari reacts as tanker explosion kills 23 in Kogi

President Muhammadu Buhari has mourned the death of 23 Nigerians in the Kogi State tanker explosion on Wednesday. Muhabarishaji reported...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you