News Takukuru Mkoani Mtwara yarejesha Zaidi ya milioni 500 kutoka...

Takukuru Mkoani Mtwara yarejesha Zaidi ya milioni 500 kutoka kwa watuhumiwa

-

- Advertisment -

Na Faruku Ngonyani, Mtwara.

Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Mtwara imefanikiwa kurejesha Zaidi ya Milioni Mia tano (536,956,762.28) zilizofanyiwa ubadhilifu wakati wa malipo ya zao la korosho msimu wa 2018/2019.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kamanda wa Takukuru Mkoani Mtwara ENOCK NGAILO amesema kuwa fedha hizo zilifanywa ubadhilifu na baadhi ya watu ambao sio waaminifu wakati wa malipo ya zao la korosho msimu wa 208/2019

Uchunguzi uliofanywa na Taasisi hiyo ya TAKUKURU uliwabaini badhi ya watumishi wa Serikali ambao walipewa jukumu la kuwa kweye timu ya uhakiki  malipo ya zao hilo  msimu wa 2018/2019 ambapo fedha hizo zililipwa na Serikali.

Aidha Takukuru Mkoani Mtwara ilifanya uchunguzi huo wa ubadhilifu wa fedha kwa kushirikiana na bodi ya Nafaka na mazao mchanganyiko Tanzania (CBT) iliyokuwa na jukumu la kusimamia malipo hayo..

Katika uchunguzi huo Taasisi hiyo ilibaini kiasi cha fedha cha shilingi 922,702,132.65 zililipwa kwa watu ambao hawakuuza korosho ,huku kiasi cha fedha cha shilingi 533,809,490.0. zililipwa kwa  kuwazidishia wakulima waliouza korosho.

Hivyo kwa msimu wa mwaka 2018/19 jumla ya fedha shilingi 1,456,511,622.67 zililipwa kwa watu wasiohusika.

TAKUKURU Mkoani Mtwara imetoa wito kwa maafisa ushirika wa ngazi zote,wadau na Bodi za mazao mchanganyiko kila mmoja kusimamia Sheria na kanuni ili kuhakikish ushirika unajengwa katika misingi ili kuweza kuatatua matatizo na kupambana na Rushwa..

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Official: Abbas under pressure to talk to US

Palestinian President Mahmoud Abbas refused to negotiate with the US although he was under pressure from Arab countries, a...

Iraq captures 2 Daesh militants in Baghdad

Iraqi security forces arrested two militants from the Daesh terrorist group in raids in the capital Baghdad, according to...

Fire guts shopping mall in Abeokuta

A shopping mall has caught fire...

BREAKING: Edo Decides: INEC declares Obaseki winner of governorship election

The Independent National Electoral Commission, INEC,...

CS Kagwe Warning to GEMA Leaders Raises Eyebrows [PHOTOS]

Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Sunday, September 20, encouraged the Gikuyu, Embu, Meru Association (GEMA) to ignore intimidation...

Tricks Thieves Are Using to Steal Cars in Kenya

Motor vehicle theft has gone a notch higher in Kenya, with a sophisticated crop of thugs engineering new tactics...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you