News Waziri Mkuu aongoza zoezi la kuagwa Jaji mstaafu Mark...

Waziri Mkuu aongoza zoezi la kuagwa Jaji mstaafu Mark Bomani

-

 

Leo September 24, 2020 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaongoza Watanzania kutoa heshima za mwisho kwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania, Jaji Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini DSM.

Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania alifariki Dunia usiku wa kuamkia September 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, DSM ambapo mpaka umauti unamfika alikua amelazwa hospitalini hapo.

 

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you