News Waziri wa ulinzi wa Uturuki awasili Kupro ya...

Waziri wa ulinzi wa Uturuki awasili Kupro ya Kaskazini

-

- Advertisment -

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar amewasili Jamhuri ya Kupro ya Kaskazini  katika ziara yake rasmi.

Waziri  huyo wa ulinzi wa Uturuki amekwenda  mjini Nikosia baada ya kumaliza mkutano wake na  meja -jenerali  Yaşar Güler.

Hulusi Akar amezungumza pia na Ümit Dündar, amiri jeshi wa kikosi cha jeshi la majini Adnan Özbal na jeshi la ardhini Hsan Küçükakyüz mjini Antalya.

Baada ya mazungumzo yake hayo, Hulusi Akar  amejielekeza mjini Nikosia.

Waziri wa ulinzi wa Uturuki amehudhuria pia katika mazoezi   ya jeshi la Uturuki na jeshi la  Jamhuri ya Kupro ya Kaskazini.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Jeshi la Lebanon limegundua tani 1.3 za fataki

 Jeshi la Lebanon limesema limefanikiwa kuzigundua tani 1.3 za fataki, baada ya msako uliofanyika katika bandari ya Beirut, ambayo...

Wamorocco waandamana kupinga mauhusiano ya kidiplomasia ya mataifa ya Kiarabu na Israel

 Pamoja na uwepo wa marufuku ya kufanyika mikusanyiko mikubwa kwa lengo la kukabiliana na janga la virusi vya corona,...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you