News Africa ‘haiwezi kuhimili’ wimbi la pili la virusi vya...

Africa ‘haiwezi kuhimili’ wimbi la pili la virusi vya corona

-

Shirika la afya duniani (WHO) limeonya kuwa Afrika haiwezikuhimili wimbi la pili laCovid-19, likisema kuwa litakuwa na athari kubwa hususan za kiuchumi.

Onyo hilo linatolewa wakati maambukizi yakiendelea kuongezeka katika nchi nyingi ambazo zililegeza sheria za kupambana na maambukizi hayo hivi karibuni.

WHO linasema virusihavitaweza kudhibitiwakama mataifa ya Afrika yataendelea kufungua shughuli zakebila kuweka tahadhari za kuzuwia maambukizi ya virusi vya Corona.

Imeonya pia juu ya kurejea kwa vipindi vya amri za kutotoka nje ambazo inasema Afrika haiwezi kuvihimili.

Mkurugenzi wa Who kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti, pia amesema hatua zimewekwa kuhakikisha bara hilo linapata sehemu yake ya ya chanjo yoyote inayotengenezwa.

Afrika imeripoti zaidi yavisa milioni 1.6 vya virusi vya corona tangu mlipoko huo ulipoanza huku watu 39,000 wakifa kutokana na maradhi hayo.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Trump tells Congress of intent to sell F-35s to UAE

The Trump administration has notified Congress of its intent to sell advanced F-35 fighter jets to the United Arab...

Maandamano ya kupinga mauaji ya kijana mweusi Marekani

Ilani ya marufuku ya kutoka nje imetangazwa katika mji wa Philadelphia nchini Marekani ili kudhibiti hali ya usalama kutokana...

Hatua za Ufaransa kudhibiti corona kubakia zaidi ya Desemba 1

 Hatua kali mpya za kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona zilizotangazwa na Ufaransa zinaweza kuongezewa muda zaidi ya tarehe...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you

%d bloggers like this: