News CUF yakata rufaa kupunguziwa adhabu Mtwara

CUF yakata rufaa kupunguziwa adhabu Mtwara

-

 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Ali Makame Issa, Zanzibar, amesema tayari chama hicho kimeshakata rufaa baada ya kuzuiwa kutokufanya kampeni katika jimbo la Mtwara mjini kwa muda wa siku kumi.

Akizungumza na EATV Digital, amesema kuwa zimeshatimia siku tatu tangu kuzuiwa kwao kufanya shughuli za kampeni katika jimbo hilo baada ya malalamiko yaliyopelekwa katika Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi juu ya ukiukwaji wa maadili ya uchaguzi .

 “Chama kimekata rufaa pamoja na adhabu iliyopewa na malalamiko yao wanataka ile adhabau ipunguzwe pia kwasababu siku kumi ni siku nyingi sana ikiwa ni mgombea unafanya kampeni ukaambiwa ukae tu” alisema  Ali Makame Issa

Aidha Makame ameweka wazi imani waliyonayo juu ya  mgombea wa chama chao katika jimbo hilo Bw. Maftah Abdallah Nachuma ambaye anatetea nafasi yake yakuendelea kuliwakilisha jimbo kuwa ni mgombea anayesubiria kuapishwa.

Hata hivyo  Makame amesema kuwa wanaamini kuwa kampeni walizozuwia kufanya ni kwa upande wa Ubunge hivyo katika ngazi nyingine kampeni bado zinaendelea.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Russia and Iran obtain voter information ahead of US election, officials say

Russia and Iran have obtained US voting registration information and are aiming to interfere in the presidential election, the...

Long-awaited Ghostbusters sequel delayed

The long-awaited Ghostbusters sequel has been delayed by three months, studio Sony said. Ghostbusters: Afterlife will now arrive on June...

Short-form streaming service Quibi to close after six months

Short-form streaming service Quibi is closing down just over six months since launching, the company has announced. The service had...

Rudy Giuliani responds to Borat video

Donald Trump ally Rudy Giuliani has described a video clip from the upcoming Borat film appearing to show him...

Martin Bashir ‘seriously unwell’ with Covid-19 related complications

Veteran journalist Martin Bashir is “seriously unwell” with coronavirus-related complications, the BBC has said. The 57-year-old, best known for his...

Manchester City come from behind to beat Porto

Manchester City 3 - 1 FC Porto Manchester City made a winning start to their latest assault on the Champions League as they came...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you