News Ditopile amsaidia kutengeneza gari mgombea Ubunge wa CUF Chemba

Ditopile amsaidia kutengeneza gari mgombea Ubunge wa CUF Chemba

-

 

Mgombea Ubunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma CCM, Mariam Ditopile amesimamisha msafara wake katika eneo la Msazuje wilayani Chemba ili kumsaidia kutengeneza gari lake Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chemba kupitia CUF, Tanzilu Isema. Ditopile alikua ziarani katika Kata ya Msaada wilayani humo kutafuta kura Mgombea Urais wa CCM, Dk John Magufuli, Mbunge na Diwani.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

UN: Mkataba wa marufuku ya nyuklia kuanza kutekelezwa

 Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa nchi 50 zimeidhinisha mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupiga marufuku silaha za nyuklia...

UN Nuke Ban Treaty to Take Effect in Jan., Japan in Dilemma

- Other Media news - The Treaty on the Prohibition of Nuclear Weapons, however, puts on the spot...

Archbishop Pizzaballa appointed Jerusalem Patriarch

Archbishop Pierbattista Pizzaballa, the Vatican’s apostolic administrator in the Holy Land, has been named as the new Patriarch of...

Hamas: French cartoons provocative to Islam, beliefs

Hamas on Saturday slammed France for publishing cartoons that degrade Islamic symbols, Anadolu reports. “ Macron’s encouragement to publish insulting...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you