News Dk Charles Kimei ashinda kiti cha ubunge Vunjo

Dk Charles Kimei ashinda kiti cha ubunge Vunjo

-

 

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Vunjo, Michael Mwandezi amemtangaza Dk Charles Kimei kupitia CCM kuwa mshindi katika uchaguzi jimbo la Vunjo baada ya kupata kura 40,170.

Grace Kiwelu wa Chadema amepata 8,675, James Mbatia wa NCCR amepata kura 4, 949, Agustino  Mrema  kutoka TLP kura 606, Michael Salewa AAFP amepata  kura 470 na Idd Husein Act Wazalendo kura 215.

Amesema katika jimbo hilo, waliojiandikisha ni 141,864 , kura zilizozopigwa 56, 113 kura halali 55,085 kura zilizoharibika 1,028

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Varadkar ‘out of touch’ over cross-Border travel during pandemic

Stormont leaders have lambasted “out of touch” Leo Varadkar over cross-Border travel during the pandemic. The Government is not planning...

VIDEO | KAYUMBA – CHUNGA

https://www.youtube.com/watch?v=ZKfedO4GSrw ...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you