News Hatua za Ufaransa kudhibiti corona kubakia zaidi ya Desemba...

Hatua za Ufaransa kudhibiti corona kubakia zaidi ya Desemba 1

-

 

Hatua kali mpya za kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona zilizotangazwa na Ufaransa zinaweza kuongezewa muda zaidi ya tarehe ya mwisho ya Desemba mosi, kulingana na Profesa Jean-François Delfraissy mshauri wa serikali wa masuala ya kisayansi.

 Rais Emmanuel Macron amesema jana kwamba Ufaransa huenda ikaanza kupunguza vikwazo hivyo pale maambukizi ya virusi vya corona yatakapoanza kupungua na kufikia 5,000 kwa siku badala ya idadi ya hivi sasa ya maambukizi 40,000 kwa siku moja. 

Lakini Delfraissy amesema haamini kama hilo linaweza kufanikiwa ifikapo Desemba mosi. Viongozi wa Umoja wa Ulaya watakutana leo kwa mkutano wa njia ya video kujadili namna ya kuudhibiti mgogoro huo wa virusi vya corona, kulingana na vyanzo vya Ulaya.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Scientists defend AstraZeneca and Oxford over vaccine questions

British scientists have defended Oxford University and AstraZeneca after questions were raised about the results of their Covid-19 vaccine...

Paris police suspended over beating of black man

A black man who was repeatedly punched, tear gassed and beaten with a truncheon by French police has said...

North preparing for Covid-19 vaccine rollout from next month

Preparations are well under way to begin the rollout of a Covid-19 vaccination programme from next month in Northern...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you