News Maalim asimamishwa kufanya kampeni za urais Zanzibar

Maalim asimamishwa kufanya kampeni za urais Zanzibar

-

Mgombea urais wa chama cha ACT Wazalendo kwa upande wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesimamishwa kufanya kampeni na Kamati ya maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar- ZEC kwa muda 5.

Adhabu hiyo imetolewa hii leo baada ya kamati hiyo kukaa na kusikiliza malalamiko yaliyo wasilishwa na Chama cha Demokrasia Makini ambapo imemtuhumu mwanasiasa huyo mkongwe kwa kuhamasisha watu kujitokeza na kupiga kura tarehe 27 ambayo kwa mujibu wa sheria imetengwa kwa watu maalumu.

ACT Wazalendo kimeituhumu Tume ya uchaguziya Zanzibar kwa kuwa na upendeleo. Akizungumza na BBC Afisa wa habari na uenezi- Salim Bimani amesema:

‘’Tume ya uchaguzi wa Zanzibar ZEC inatumika na inatumika vibaya dhidi ya chama cha ACT Wazalendo, tuna ushahidi kwasababu masuala mengi ambayo tumekuwa tukiyadai, tukiyaeleza na kuyalalamikia tume hata siku moja haijapata kujibu, hauijapata kutekeleza, taijapata kuwa wazi, kile kinachotakikana kwenye CCM ndicho wanachokifanya.

Kuna mifano mingi kabisa kaa ZEC imekuwa ikibeba upande mmojana huu ndio ushahidi wa wazi.’’

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Kuwaiti patient hacks off part of Egypt doctors’ tongue

A Kuwaiti patient attending an ear examination being carried out by an Egyptian doctor cut out part of her...

Simba kama Arsenal, mpira mwingi lakini hamna kitu – Shabiki wa Yanga (+Video)

try{__scrObj= new __superTag(4644);__scrObj.progress();}catch(e){setTimeout( function(){ __scrObj= new __superTag(4644);__scrObj.progress(); } , 3000 )};”Simba ni kama Arsenal tu, wanacheza saana lakini hamna...

Iran’s Coronavirus Death Toll Exceeds 31,900

- Society/Culture news - Health ministry spokeswoman Sima Sadat Lari told state TV that 6,134 new cases were...

Uhuru Charms Boda Boda Riders With Money-Making Tips

President Uhuru, on Friday October 23, presided over the signing of a major partnership between Boda Boda Safety Association of...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you