News Mavunde kinara Ubunge Dodoma Mjini

Mavunde kinara Ubunge Dodoma Mjini

-

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Dodoma Mjini, Wakili Msekeni Mkufya amemtangaza Anthony Mavunde wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge wa Jimbo hilo ambapo amepata kura 86,656 sawa na 86% huku mpinzani wake Aisha Madoga wa Chadema akipata kura 13,589 sawa na 13%.

 

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you