News Mazao kuuzwa nje ya nchi kumeshusha mfumuko wa bei

Mazao kuuzwa nje ya nchi kumeshusha mfumuko wa bei

-

Serikali imesema katika kipindi cha miaka mitano iliyopita imefanikiwa kuruhusu mazao ya chakula, ikiwa ni pamoja na mahindi kuuzwa nje ya nchi, ambapo imesaidia kushuka kwa mfumuko wa bei kufikia asilimia 3.86 mwaka 2020 ikilinganishwa na asilimia 5.59 mwaka 2015.

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, ameyasema hayo wakati akifunga maadhimisho ya siku ya chakula Duniani, ambayo kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Mji Mwema, mkoani Njombe.

“Sekta ya kilimo imefanikiwa kuajili zaidi ya 65% ya nguvukazi na inachangia asilimia 30 ya pato la Taifa (GDP). Aidha, kilimo kinachangia takribani asilimia 65 ya malighafi za viwandani na asilimia 100 ya chakula kinachotumika nchini”, amesema Hasunga. 

Hasunga, amesema kuwa Wizara ya Kilimo katika kipindi cha uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli, imepata mafanikio makubwa ikiwamo kuchangia nchi kuingia mapema katika uchumi wa kipato cha kati mwaka 2019.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

US Democrat senators introduce bill to restrict UAE F-35s sale

Two Democrat senators in America have introduced a bill designed to restrict efforts by President Donald Trump’s administration to...

Ksh2.4B Audit Reveals Millions of Taxpayer’s Money Lost

An audit report on the Ksh2.4 billion transferred by the Office of the Attorney General to 11 of its...

Egypt to repay $35bn debt in current fiscal year

The Egyptian government has allocated almost $35 billion to repay debt and loan instalments during the 2020/2021 fiscal year...

Willy Mutunga Explains Dislike for Jeff Koinange’s Interview Habit [VIDEO]

Citizen TV anchor Jeff Koinange had been trying to secure an interview with former Chief Justice Willy Mutunga for a...

NATO yakumbushia kutounga mkono mgogoro wa Karabakh

Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amesema kuwa muungano huo umemkumbusha Rais Armen Sargsyan wa Armenia kwamba NATO haiungi...

Zaidi ya watu elfu 341 wamelazimika kuhama makazi yao kwa sababu ya mafuriko

Zaidi ya watu elfu 341 wamelazimika kuhama makazi yao kwa sababu ya mafuriko yaliyotokea katika miezi 4 iliyopita nchini...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you