News Rais Putin apendekeza kurefushwa kwa mkataba wa kudhibiti silaha...

Rais Putin apendekeza kurefushwa kwa mkataba wa kudhibiti silaha kati yake na Marekani

-

 

Rais wa Urusi Vladimir Putin amependekeza kurefushwa kwa mkataba wa Urusi na Marekani wa kudhibiti silaha unaofahamika kama New START, kwa mwaka mmoja bila masharti yoyote. 

Mkataba huo ulikuwa unafikia mwisho mwezi Februari. Mkataba huo uliotiwa saini mwaka 2010 unaweka kiwango cha idadi ya vichwa vya nyuklia, makombora na mabomu kinachoweza kumilikiwa na Marekani na Urusi. 

Iwapo mkataba huo hautaongezwa vikwazo vyote vilivyoko vya Marekani na Urusi katika suala hilo la zana za nyuklia vitasita, na huenda jambo hilo likachochea vita baridi vya kuwania silaha na mivutano kati ya Urusi na Marekani. 

Putin anasema mkataba huo umefanikiwa miaka yote hiyo na itakuwa ni huzuni mno iwapo hautaendelea.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Trump tells Congress of intent to sell F-35s to UAE

The Trump administration has notified Congress of its intent to sell advanced F-35 fighter jets to the United Arab...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you

%d bloggers like this: