News Rais Trump afanya msururu wa kampeini huku mpinzani wake...

Rais Trump afanya msururu wa kampeini huku mpinzani wake Biden akisalia nyumbani

-

 

Rais Donald Trump alifanya kampeni kwa mwendo wa kasi jana katika ziara katika majimbo matatu kuanzia mkutano wa Michigan ambapo alimwita mpinzani wake Joe Biden “mhalifu” na kutoa mada kuwa wafuasi wa chama cha Democratic wanaipinga Marekani. 

Akihutubia mkutano huko Muskegon, Michigan, Trump alizingatia mada za vita vya utamaduni wa Marekani na kuuambia umati mkubwa ulioshangilia kwamba wanademokratic wanataka “kufuta historia ya Marekani, kuondoa maadili ya Marekani na kuharibu mfumo wa maisha ya Marekani. 

Trump aliimarisha juhudi zake za kumchafulia sifa Biden kama mtu fisadi na kuendeleza nadharia ya njama iliyopelekea kufunguliwa kwake mashtaka mwaka jana na ripoti mpya katika gazeti la New York inayokusudia kufichua ushahidi wa ufisadi uliofanywa na mwanawe wa kiuma Biden, Hunter.Baadaye alisafiri kwenda katika jimbo la Wisconsin eneo lenye mripuko mpya wa maambukizi ya virusi vya corona na kumalizia siku katika jimbo la Las Vegas , Nevada ambapo ataandaa mkutano mwingine katika eneo la Carson city hii leo.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Russia and Iran obtain voter information ahead of US election, officials say

Russia and Iran have obtained US voting registration information and are aiming to interfere in the presidential election, the...

Long-awaited Ghostbusters sequel delayed

The long-awaited Ghostbusters sequel has been delayed by three months, studio Sony said. Ghostbusters: Afterlife will now arrive on June...

Short-form streaming service Quibi to close after six months

Short-form streaming service Quibi is closing down just over six months since launching, the company has announced. The service had...

Rudy Giuliani responds to Borat video

Donald Trump ally Rudy Giuliani has described a video clip from the upcoming Borat film appearing to show him...

Martin Bashir ‘seriously unwell’ with Covid-19 related complications

Veteran journalist Martin Bashir is “seriously unwell” with coronavirus-related complications, the BBC has said. The 57-year-old, best known for his...

Manchester City come from behind to beat Porto

Manchester City 3 - 1 FC Porto Manchester City made a winning start to their latest assault on the Champions League as they came...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you