News Shilole kafunguka ya penzi jipya “Kuna mtu anayeumia...

Shilole kafunguka ya penzi jipya “Kuna mtu anayeumia kwani..?”

-

Shilole kwa mara ya kwanza amezungumzia ishu yake na mpiga picha wake baada ya kuonekana wakila Bata peke yao huku zikiwepo taarifa kuwa wawili hawa wana toka kimapenzi ambapo Shishi amesema

“Kuna mtu anayeumia kwani..? Bata anakula mtu yeyote, tatizo watanzania wanapenda kuunganisha matukio, hatuna lolote linaloendelea sisi tupo kazini ni Picha tu, Mpiga Picha wangu Nampenda, Yupo vizuri kila Sekta” – Shilole

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Coronavirus Immunity May Only Last A Few Months after Infection: Study

- Science news - Research by Imperial College London estimated just 4.4% of adults had some form of...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you