News Shirika la Posta limewataka watanzania kutumia huduma ya posta...

Shirika la Posta limewataka watanzania kutumia huduma ya posta kwa ajili ya maendeleo ya Nchi

-

Katika kuadhimisha miaka 146 ya Posta duniani, Shirika la Posta limewaasa Watanzania  kutumia huduma ya Posta kwa ajili ya maendeleo ya nchi ikiwemo kutoa huduma  ndani na nchi 192 duniani.

Shirika Posta nchini limefanya maadhimisho hayo na kuweka wazi mikakati yake ya kutumia teknolojia ya kisasa ili kuongeza ufanisi kwenye kazi zao na  kuwahudumia watanzania wote.

Akizungumza na waandishi wa Habari Dar Es Salaam, katika maadhimisho ya miaka 146 ya posta duniani, Posta Masta Mkuu wa shirika hilo,Hassan Mwan’gombe Shirika limeweza kupata faida kubwa na kuweza kutoa gawio la serikalini Milioni 350 kutokana na mfumo wa kidijitali.

Mwang’ombe amesema mfumo wa Kidijitali umeweza kuwasaidia na. kuboresha shughuli za shirika hilo ndani na nje ya nchi na  kujiinua kiuchumi na kupata faida kubwa.

Amesema,  Shirika linafanya huduma ya kusafirisha mizigo nchi 192 ambazo zinapata huduma hiyo na limeweza kuhakikisha mizigo ya wateja inafika kwa usalama mkubwa na uaminifu.

Aidha, Mwang’onde ameeleza  Shirika la Posta lipo mbioni  kuzindua huduma ya Posta mkononi kama njia ya kuwarahisishia  wateja wao kupata huduma popote waliopo.

“Wateja watajisajili kwa njia ya simu na kwa sasa hivi mteja hatajihitaji kufuata barua yake katika sakundu la Posta bali itamfuata alipo.” 

Amesema, Posta ni zaidi ya barua kwani wanasafirisha bidhaa mbalimbali wana magari yanayosafirisha vitu nchi nzima na pia wana mpango wa kuwa na boti yao ili kurahisisha  usafiri wa mizigo.

Akielezea kwa kina kuhusiana na huduma ya Posta wakati wa mlipuko wa virusi vya Corona, Mwa’gombe amesema  “katika kipindi cha maambukizi ya virusi vya COVID 19 serikali ilitupatia jukumu  la kusafirisha sampuli kutoka eneo moja hadi  na tulifanya kazi hiyo kwa mafanikio makubwa sana.” 

Nakuongeza kuwa Shirika hilo lilikuwa miongoni mwa kudhibiti janga hilo.

Pia baada ya mkutano huo kulifanyika ziara fupi ya kutembelea baadhi ya vitengo vinavyotoa huduma ya kusafirisha na kupokea mizingo ya wateja.

 

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Robert Redford mourning son James following his death aged 58

Hollywood star Robert Redford is in mourning following the death of his son at the age of 58, a...

Tiger King star Carole Baskin makes announcement on her sexuality

Tiger King star Carole Baskin has come out as bisexual and said she “could just as easily have a...

Hollywood actor Jeff Bridges diagnosed with lymphoma

Hollywood actor Jeff Bridges has announced he has been diagnosed with lymphoma. The 70-year-old star of films including The Big...

Taraji P Henson confirms split from fiance Kelvin Hayden

Hollywood actress Taraji P Henson has announced she has split from fiance Kelvin Hayden. The Oscar-nominated star of The Curious...

Zendaya shares surprising Euphoria news

Zendaya has surprised fans by announcing two special episodes of Euphoria are on the way. The actress – who last...

UK exposes Russian cyber attacks against Tokyo Olympics

The Russian military intelligence service (GRU) carried out cyber attacks on officials and organisations linked to the 2020 Tokyo...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you