News Taiwan yatarajia kupunguza mvutano na China

Taiwan yatarajia kupunguza mvutano na China

-

Rais wa Taiwan Tsai Ing-wen amesema leo hii kwamba ana matumaini ya kupungua kwa mvutano na China iwapo itakubali kusikiliza kero za Taiwan, kubadilisha msimamo wake pamoja na kuanza mazungumzo mapya na kisiwa hicho kinachojitawala. 

Akizungumza kwenye maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Taiwan mapema leo, Tsai aligusia matamshi ya hivi karibuni ya kiongozi wa China, Xi Jinping, kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambapo alisema China haina nia ya kutawala taifa lolote, kutaka kujipanua au kuongeza ushawishi wake ulimwenguni. 

Chama tawala cha Kikomunisti cha China kinadai kisiwa cha Taiwan kinachojitawala ni sehemu ya China na ina haki ya kukichukuwa kwa nguvu ikilazimika.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Jewish Settlers Storm Al-Aqsa Mosque Compound under Israeli Police Protection

- World news -  “Under the protection of Israeli police, over 100 settlers stormed the compound through Al-Mugharbah...

Treasury to Hold NMS Staff Salaries Over Dispute

Treasury CS Ukur Yattani declined a request to release money to pay salaries to the Nairobi Metropolitan Services (NMS) staff,...

South Korea Sticks to Flu Vaccine Plan despite 25 Deaths

- Other Media news - Health authorities said they found no direct links between the deaths and the...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you