News Trump kuanzisha kampeni huku mdahalo ukisitishwa

Trump kuanzisha kampeni huku mdahalo ukisitishwa

-

Rais Donald Trump wa Marekani atarejea katika kampeni yake leo hii ya ana kwa ana baada ya kujitenga kutokana na kufikwa na maambukizi ya virusi vya corona, lakini mdahalo wa juma lijalo dhidi ya mpinzani wake Joe Biden umesitishwa kutokana na kiongozi huyo kukataa kushiriki.

 Rais Trump atahutubia umma wa watu moja kwa moja akiwa katika baraza ya Ikulu ya Marekani. Chanzo cha karibu kimesema umma huo unaweza kuwa mamia, na wote wanatarajiwa kuvaa barakoa.

 Alafu Jumatatu rais huyo wa chama cha Republican atasafiri kuelekea Florida, eneo ambalo linatazamwa kuwa gumu kwake, katika matumaini yake ya kushinda tena muhula wa pili madarakani katika uchaguzi wa Novemba 3.

 Atashiriki kampeni yake ya kwanza ya wazi tangu agundulike kuwa na virusi vya corona katika uwanja wa ndege, mjini Sanford.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Short-form streaming service Quibi to close after six months

Short-form streaming service Quibi is closing down just over six months since launching, the company has announced. The service had...

Rudy Giuliani responds to Borat video

Donald Trump ally Rudy Giuliani has described a video clip from the upcoming Borat film appearing to show him...

Martin Bashir ‘seriously unwell’ with Covid-19 related complications

Veteran journalist Martin Bashir is “seriously unwell” with coronavirus-related complications, the BBC has said. The 57-year-old, best known for his...

Manchester City come from behind to beat Porto

Manchester City 3 - 1 FC Porto Manchester City made a winning start to their latest assault on the Champions League as they came...

Oxford vaccine trial to continue in Brazil after ‘death of volunteer’

The University of Oxford has said a trial of its coronavirus vaccine will continue in Brazil amid reports of...

Fabinho fills Virgil Van Dijk void as Liverpool win at Ajax

Ajax 0 - 1 Liverpool Nicolas Tagliafico’s own goal was enough for Liverpool to beat Ajax 1-0 in the Champions League but it was...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you