News Wananchi wa Israel waendelea kumtaka Netanyahu ajiuzulu

Wananchi wa Israel waendelea kumtaka Netanyahu ajiuzulu

-

Baada ya kuondolewa kwa vizuizi vya maandamano vilivyokuwa vimewekwa kutokana na janaga la corona nchini Israeli, wananchi wameendelea kukusanyika sehemu tofauti zanchi wakimpinga Waziri Mkuu Binyamin Netanyahu .

Maandamano makubwa yanaendelea yakimtaka  Waziri Mkuu Binyamin Netanyahu ajiuzulu kwa madai kwamba hakuweza kusimamia kesi ya ufisadi na mchakato wa Kovid-19 na wananchi walionekana wakiwa wamekusanyika kwenye makao ya Wizara Kuu huko Magharibi mwa Yerusalemu.

Baadhi ya  waandamanaji walikuwa wamevaa fulana zinazosema “Waziri Mkuu wa Uhalifu”, wengine walibeba mabango wakisema “Tutapambana na ufisadi”, “Sasa ondoka ”

Zaidi ya watu elfu 20 walihudhuria maandamano hayo na kuimba kauli mbiu “Nenda nyumbani kwako Bibi (Netanyahu)”.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Vicky McClure, Martin Compston and Adrian Dunbar film Line Of Duty in Belfast

Vicky McClure, Martin Compston and Adrian Dunbar were back on the beat as Line Of Duty continued filming in...

Sagini aahidi kumalisha mradi wa maji kutoka ziwa victoria

Mbunge Mteule wa Jimbo la Butiama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jumanne Sagini amesema akiapishwa atahakikisha anakamilisha mradi wa...

Russian airstrike injures 5 civilians in Syria’s Idlib

Five civilians were injured in a Russian airstrike in Syria’s northwestern Idlib province, according to the White Helmets civil...

Football fan dies five years after he was attacked by opposition thugs

A football fan who was attacked by opposition thugs and suffered devastating injuries on his way back from an...

Umoja wa Ulaya wasema uko tayari kuukwamua Brexit

 Mjumbe wa Umoja wa Ulaya Michel Barnier amesema leo kuwa Ulaya iko tayari kuchukua hatua ya kuukwamua mkwamo wa...

Mkuu wa NATO afuta uwezekano wa kuondoka mapema Afghanistan

 Wakati machafuko yanayooengezeka yakitishia kuyakwamisha mazungumzo ya amani nchini Afghanistan, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you