News Wawili wamepoteza maisha katika shambulizi la kisu karibu na...

Wawili wamepoteza maisha katika shambulizi la kisu karibu na kanisa Ufaransa

-

Watu wawili wamepoteza maisha katika shambulizi la kisu karibu na kanisa huko Nice, Ufaransa.

Meya Christian Estrosi amesema katika taarifa kwenye Twitter kwamba mtu ambaye amefanya shambulizi la kisu karibu na kanisa la Notre Dame ametiwa kizuizini.

Estrosi pia ametangaza kuwa tukio hilo kama shambulizi la kigaidi.

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa Gerald Darman ametangaza kuwa uchunguzi wa polisi juu ya tukio hilo unaendelea.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

North preparing for Covid-19 vaccine rollout from next month

Preparations are well under way to begin the rollout of a Covid-19 vaccination programme from next month in Northern...

Mamilioni ya Wamarekani wasafiri licha ya maonyo ya maambukizi ya covid

Mamilioni ya watu nchini Marekani wanasafiri kabla ya likizo ya siku ya Shukrani, licha ya kuongezeka kwa idadi ya...

Americans travel home for Thanksgiving despite coronavirus surge

Millions of Americans took to the skies and the roads ahead of Thanksgiving at the risk of pouring petrol...

UN decries police use of racial profiling derived from ‘big data’

Police and border guards must combat racial profiling and ensure that their use of "big data" collected via artificial...

Last orders for Dublin’s Rí-Rá nightclub and The Globe bar

It’s ‘last orders’ for well known Dublin night venues, Rí-Rá nightclub and The Globe bar. Dublin City Council has approved...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you