News WFP: Ulimwengu usilisahau eneo la Sahel

WFP: Ulimwengu usilisahau eneo la Sahel

-

Mtendaji Mkuu wa Shirika la Chaku Duniani, WFP David Beasley amesema kushinda Tuzo ya Amani ya Nobel wakati akiwasili katika eneo duni na kudhoofishwa kwa vita la Sahel, ni ujumbe kwa ulimwengu kwamba eneo hilo halipaswi kusahauliwa. 

Akizungumza na waandishi wa habari nchini Burkinafaso Beasley hapo jana, ukiwa muda mfupi tu, baada ya shirika hilo kushinda tuzo hiyo kutokana na kukabiliana na njaa katika kipindi ambacho mamilioni ya watu wanasukumwa katika wimbo la njaa kutokana na janga la corona, alisema kwa uhakika alipokea taarifa ya tuzo akiwa katika eneo la Sahel. 

Aidha yeye binafsi amonesha kusikitishwa kwake na hali ilivyo Burkinafaso, ambako makundi ya wanamgambo yanadhibiti maeneo kadhaa yenye kuhudumia watu na hivyo kufanya mamilioni ya watu kusalia na njaa. 

Zaidi ya watu milioni tatu nchini humo wanahitaji msaada wa dharura wa chakula na wengine 11,000 wapo katika mazingira ya njaa.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

US Democrat senators introduce bill to restrict UAE F-35s sale

Two Democrat senators in America have introduced a bill designed to restrict efforts by President Donald Trump’s administration to...

Egypt to repay $35bn debt in current fiscal year

The Egyptian government has allocated almost $35 billion to repay debt and loan instalments during the 2020/2021 fiscal year...

Willy Mutunga Explains Dislike for Jeff Koinange’s Interview Habit [VIDEO]

Citizen TV anchor Jeff Koinange had been trying to secure an interview with former Chief Justice Willy Mutunga for a...

Zaidi ya watu elfu 341 wamelazimika kuhama makazi yao kwa sababu ya mafuriko

Zaidi ya watu elfu 341 wamelazimika kuhama makazi yao kwa sababu ya mafuriko yaliyotokea katika miezi 4 iliyopita nchini...

Watatu Yanga kuikosa Polisi Tanzania leo

 HUENDA kiungo mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos raia wa Angola akaukosa mchezo wa leo Oktoba 22 dhidi ya Polisi...

Marekani yadai Urusi na Iran zimejaribu kuingilia kati uchaguzi

  Maafisa wa idara ya ujasusi ya Marekani wamesema Urusi na Iran zimetumia taarifa za wapiga kura ili kuwatisha raia...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you