News WHO: visa vipya vya kila siku vya maambukizi ya...

WHO: visa vipya vya kila siku vya maambukizi ya virusi vya corona 350,000

-

Shirika la Afya Duniani WHO, limesema linarekodi maambukizi mapya virusi vya corona 350,000 kila siku duniani kote.

Limesema idadi hiyo imeongezeka kwa karibu maambukizi 12,000 ikilinganishwa na rekodi za mapema wiki hii. Idadi hiyo inajumuisha maambukizi 109,000 kwa Ulaya peke yake. 

Wanasayansi wa Uingereza wanasema mripuko wa vurusi vya corona unaongezea maradufu kila wiki. Ufaransa imepata upungufu wa vitanda vya kuwalaza wagonjwa mahututi, Uhispania imetangaza hali ya dharura, na hasa mji wa Madrid uliozongwa na visa. 

Hapa Ujerumani Kansela Angela Merkel anakutana na mameya wa miji mikubwa kutafuta ufumbizi wa tatizo hilo la ongezeko la maambukizi.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

US imposes Iran-related sanctions, files forfeiture complaints

The United States on Thursday slapped sanctions on multiple entities in Iran, China and Singapore over their purchase and...

Fans to Return to Stadia-Sports Minister

Sports minister Emmanuel Mulenga says spectators may...

Dk Charles Kimei ashinda kiti cha ubunge Vunjo

 Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Vunjo, Michael Mwandezi amemtangaza Dk Charles Kimei kupitia CCM kuwa mshindi katika uchaguzi jimbo...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you

%d bloggers like this: