News Zitto aruhusiwa kutoka Hospitali

Zitto aruhusiwa kutoka Hospitali

-

 

Mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini, kupitia chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, anatarajiwa kuendelea na kampeni zake kama kawaida kwa siku zijazo baada ya hii leo kuruhusiwa kutoka hospitali alikokuwa akitibiwa baada ya kupata ajali akiwa mkoani Kigoma.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter hii leo Oktoba 10, 2020, Zitto ameandika ujumbe wa kuwashukuru wauguzi wote walioshiriki kumpatia matibabu baada ya kupata ajali hiyo.

“Nimeruhusiwa kutoka hospitali, nawashukuru madaktari na wauguzi wa kituo cha afya Kalya, Uvinza, Hospitali ya Maweni Kigoma na Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam, ahsanteni sana wote kwa Dua, sala na maombi yenu, nataraji kurudi kwenye kampeni siku chache zijazo In Sha Allah”, ameandika Zitto Kabwe.

Jumanne ya Oktoba 6 mwaka huu kiongozi huyo wa chama cha ACT Wazalendo na wenzake 4 walipata ajali ya gari maeneo ya Kigoma Kusini, ambapo kutoka na majeraha aliyoyapata alisafirishwa hadi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Russia and Iran obtain voter information ahead of US election, officials say

Russia and Iran have obtained US voting registration information and are aiming to interfere in the presidential election, the...

Long-awaited Ghostbusters sequel delayed

The long-awaited Ghostbusters sequel has been delayed by three months, studio Sony said. Ghostbusters: Afterlife will now arrive on June...

Short-form streaming service Quibi to close after six months

Short-form streaming service Quibi is closing down just over six months since launching, the company has announced. The service had...

Rudy Giuliani responds to Borat video

Donald Trump ally Rudy Giuliani has described a video clip from the upcoming Borat film appearing to show him...

Martin Bashir ‘seriously unwell’ with Covid-19 related complications

Veteran journalist Martin Bashir is “seriously unwell” with coronavirus-related complications, the BBC has said. The 57-year-old, best known for his...

Manchester City come from behind to beat Porto

Manchester City 3 - 1 FC Porto Manchester City made a winning start to their latest assault on the Champions League as they came...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you