News Afisa LATRA aliemtishia dereva lori panga asimamishwa kazi

Afisa LATRA aliemtishia dereva lori panga asimamishwa kazi

-

Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imemsimamisha kazi Afisa wake kutoka Mkoa wa Lindi ambaye video yake imesambaa mtandaoni akimshikia silaha aina ya panga dereva wa lori lenye namba ya usajili T412 DNN kilichotokea tarehe 11/11/2020.

Mkurugenzi Mkuu wa LATRA Gilliard Ngewe amesema sasa kinachoendelea ni uchunguzi wa tukio hilo na adhabu kali zitachukuliwa kwa muhusika ndani ya siku 21 za uchunguzi kulingana na sheria za utumishi wa umma.

“Hatua za kinidhamu kwa mujibu wa sheria dhidi ya Afisa huyo zinaendelea kuchukuliwa na hatua ya kumsimamisha kazi imechukuliwa kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2003 ya utumishi wa umma” Mkurugenzi Mkuu LATRA

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Tajikistan condemns assassination of scientist ‘Fakhrizadeh’

In this note, the Ministry of Foreign Affairs of Tajikistan expressed its deep condolences to the Iranian people and...

Ununuzi wa korosho Lindi Mwambao waendelea kusuasua

Na Ahmad Mmow, Lindi. Wakati ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu wa 2020/2021 ukielekea ukingoni, idadi ya wanunuzi wa korosho...

Mawaziri 23 aliowatangaza Rais Magufuli

 1. Wizara ya Maji -Juma Aweso 2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo- Innocent Bashungwa 3. Ofisi ya Waziri Mkuu,...

Gardaí appeal for information after Garda injured in hit-and-run

Gardaí are appealing for information following a hit-and-run on the M1 in Co Louth this afternoon. At about 1:45pm, a...

13 deaths and 456 cases of Covid-19

A further 13 deaths and an additional 456 cases of Covid-19 have been confirmed by the Department of Health...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you