News Barabara ya Jangwani yafungwa kutokana na mafuriko

Barabara ya Jangwani yafungwa kutokana na mafuriko

-

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART), imeeleza kuwa, njia ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko ya maji hii leo Novemba 17, 2020, kuanzia saa 3:30 asubuhi, na huduma ya mabasi hayo inaendelea kupitia njia ya Kigogo na Mkwajuni.

Taarifa hiyo imetolewa leo Novemba 17, 2020, kupitia ukurasa wa Twitter wa Wakala wa mabasi hayo.

“Njia ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko ya maji leo, Jumanne, Novemba 17, 2020, kuanzia saa 3:30 asubuhi, huduma ya mabasi ya DART inaendelea kupitia njia ya Kigogo na Mkwajuni ili kufika Kariakoo, Kimara, Morocco, Kivukoni na sehemu nyingine za jiji la Dar es Salaam”, imeeleza taarifa hiyo.

 

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

California certifies election results to clear Joe Biden’s path to White House

California has certified its presidential election and appointed 55 electors pledged to vote for Joe Biden, officially handing him...

Kilimo bora cha mahindi

KANUNI YA KWANZAPanda mapemaTayarisha shamba mapema kwa zana yoyote iliyo ndani ya uwezo wako (jembe, maksai, trekta).Kwa wilaya ya...

UK rights groups decry France’s anti-Muslim drive

British advocacy groups have condemned France's decision to shut down anti-racism group Collective Against Islamophobia in France (CCIF), Anadolu Agency reports. While...

Sinn Féin member resigns after being confronted over critical tweets

A Sinn Féin member has resigned from the party saying she was told not to discuss internal issues in...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you