News Breaking: Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar afanya...

Breaking: Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar afanya ziara ya kushtukiza Bodi ya mapato Zanzibar ZRB na kubaini kuwepo kwa Deni la Bilioni 17

-

 Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar Nd. Joseph Abdalla Meza Kulia akimtembeza maeneo mbali mbali Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdalla alipofanya ziara fupi Makao Makuu ya Bodi hiyo Mazizini.

 Afisa Mapato wa Bodi ya Mapato Zanzibar {ZRB} Hamza Khatib Othman akitoa Taarifa ya Kitengo chake alipotembelewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdalla akitoa agizo la kupatiwa taarifa ya Wadaiwa sugu wa zrb ndani ya Siku saba ili wachukuliwe hatua.

Meneja wa Kitengo cha Amana ya Siri cha ZRB Bwana Ali Sharif Ali akimuelezea Mheshimiwa Hemed  utekelezaji wa majukumu yao katika Kitengo chao.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Turkey complete 81-km wall along Iranian border: Report

Interior Minister Suleyman Soylu claimed that the construction of wall aims to prevent unauthorized border passage by smugglers and illegal migrants. Suleyman...

VIDEO | Vein Ft. Mr blue – Umeniweza

https://www.youtube.com/watch?v=pCucU0TudL0 ...

Eliud Kipchoge’s Choice of Food Elicits Debate

World record holder Eliud Kipchoge's choice of meal elicited debate globally among his followers and experts. The athlete was...

Vandals Cost Zesco K4 Million

Zesco has recorded a total of 682 vandalism cases from January 2020...

Kavindele Toll Plaza Rakes K1.5 Million per Month

The National Road Fund Agency says it is now collecting over 1.5...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you