News Ethiopia yakataa mkono wa maridhiano wa AU katika mzozo...

Ethiopia yakataa mkono wa maridhiano wa AU katika mzozo wa Tigray

-

 

Serikali ya Ethiopia imekataa juhudi za Umoja wa Afrika za upatanisho na kusema wanajeshi wake wamechukua udhibiti wa mji mwengine wakati jeshi la serikali linapoelekea katika mji mkuu wa mkoa wa kaskazini wa Tigray unaoshikiliwa na waasi. 

Mnamo siku ya Ijumaa, Umoja wa Afrika uliwateua marais wa zamani wa Msumbiji Joaquim Chissano, Ellen Johnsof Sirleaf wa Liberia na Kgalema Motlanthe wa Afrika Kusini kama wajumbe maalum katika mazungumzo ya upatanisho.

Zaidi ya wiki mbili baada ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed kutangaza oparesheni ya kijeshi, serikali imesema vikosi vya usalama vya Tigray vinaharibu barabara na madaraja ili kuudhibiti mji mkuu wa mkoa wa Tigray, Mekelle, wenye idadi ya kiasi ya watu nusu milioni.

Wapiganaji wa Tigray wameahidi kupambana vikali na maadui zao. Hata hivyo, wamekanusha madai kuwa wameharibu madaraja na barabara.

Mamia ya watu wamekufa na zaidi ya wengine 30,000 wamekimbilia Sudan tangu mzozo huo ulipoanza Novemba 4.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Revenue seize 5.5m cigarettes with help of detector dog Kelly

Revenue seized over 5.5 million cigarettes at Dublin Port yesterday, with the assistance of detector dog Kelly. The seizure was...

Turkey slams France’s call for Nagorno-Karabakh independence

The French Senate's adoption of a resolution urging the government to recognise Nagorno-Karabakh as an independent republic is "ridiculous, biased...

Askofu Gwajima: Yajayo Kunduchi yanafurahisha

 Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amewetaka wakazi wa Kunduchi kuwa na subira wakati serikali inaendelea na...

Too many people using homelessness services are dying, Varadkar says

Too many people using homelessness services are dying prematurely in Ireland, the Tánaiste has said. The number of deaths appears...

Lebanon ‘drug dealer’ arrested in Brazil

A Lebanese-Brazilian man was arrested in Sao Paolo on Monday on drug trafficking charges, the New Arab reports. Assad Khalil Kiwan...

Government acted appropriately during Woulfe process, Justice Minister says

The Government acted “appropriately” throughout the Seamus Woulfe appointment process, Justice Minister Helen McEntee has said. The need to ensure...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you